MATUKIO MBALIMBALI
SEMINA YA KITAIFA 2011
Kwa mara nyingine tena uongozi wa kanisa la Maranatha Reconciliation unakuletea semina ya kila mwaka ya kitaifa. Kwa mwaka huu wa 2011 semina hii itafanyika wiki ya pili ya mwezi wa Oktoba.
Tarajia mabadilko makubwa utakayopata kupitia semina hii ya ajabu, ambapo mwalimu wa kimataifa Ben Hanegraaff pamoja na walimu wengine watakuwepo kuhudumu neno la Mungu.
ANZA KUMBEA SEMINA HII KUANZIA SASA. ORODHA YA MAMBO YA KUOMBEA UTAIPATA KUPITIA UKURASA HUU HIVIKARIBUNI.
Fuatilia semina hii kwenye facebook
![]() |
Kuhusu Huduma
- Sisi ni nani?
- Nini tunachokifanya
- Ndani ya Kanisa la Maranatha
- Umisheni: Tanzania & Africa
- Maoni yako
AGIZA JARIDA LA
NG'ANG'ANIA BURE
|
![]() |
-
Usoma Shuhuda za matendo makuu ya Mungu. Makala za neno la Mungu pamoja na mafundisho ya Askofu Rodrick Mbwambo bila kusahahu mafundisho yenye nguvu na Mch. Belobaba wa Marekani.
Na Habari mbalimbali utazipata ndani ya jarida la Ng'ang'ania














