UKURASA WA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU
Karibu kwenye ukurasa maalum wa Neno la Mungu. Katika ukurasa huu utaweza kupitia mafundisho mbalimbali ya Neno la Mungu yaliyoandaliwa vizuri na mtumishi wa Mungu Rodrick Mbwambo, pamoja na watumishi wengine. Hapa ni mahali pa muhimu sana kwa kwako wewe ikiwa unataka kukua kiroho. Chagua mafundisho yaliyoorodheshwa hapo chini bure!
| 01 KUELEA KWA CHUMA - Askofu Rodrick Mbwambo
02 KULA MEZANI PA ADUI- Askofu Rodrick Mbwambo 03 KUMALIZA MWENDO KUSHUJAA- Askofu Rodrick Mbwambo 04 KUPAMBANA HADI KUPATA USHUNDI- Askofu Rodrick Mbwambo 05 KUWASHINDA WAFUKIA VISIMA- Askofu Rodrick Mbwambo 06 USHIRIKA WA ARUSI YA KANA- Askofu Rodrick Mbwambo 07 WAJIBU WA MTU ALIYEOKOKA- Askofu Rodrick Mbwambo
|
Kuhusu Huduma
- Sisi ni nani?
- Nini tunachokifanya
- Ndani ya Kanisa la Maranatha
- Umisheni: Tanzania & Africa
- Maoni yako
AGIZA JARIDA LA
NG'ANG'ANIA BURE
|
![]() |
-
Usoma Shuhuda za matendo makuu ya Mungu. Makala za neno la Mungu pamoja na mafundisho ya Askofu Rodrick Mbwambo bila kusahahu mafundisho yenye nguvu na Mch. Belobaba wa Marekani.
Na Habari mbalimbali utazipata ndani ya jarida la Ng'ang'ania














